TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE
Jumamosi, 20 Januari 2018
VIDEO: Mtatiro Afunguka CHADEMA Kusimamisha Wagombea
Mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa Chama cha CUF Julius Mtatiro amesema kuwa kitendo cha CHADEMA kusimamisha wagombea katika uchaguzi mdogo wa marudio majimbo mawili ya Kinondoni na Siha sio kitendo kibaya, Msimamo wa UKAWA ulikua ni kugomea uchaguzi mdogo wa January 11.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni