Siku hizi imekua ni ngumu sana kukubaliwa na google adsense kuweka matangazo yao kwenye blog,website au youtube channel.
Zifuatazoni hatua fupi ili uweze kukubaliwa na google adsennce kuweka matangazo yao na wewe kuweza kulipwa. By some Zakaboy blog
Step 1: Uwe na Gmail acccount
Step2: Login kwenye Youtube account kishahttp://youtube.com/account_monitization
Step3: Click kwenye "Enable my Account"
Step4: Kisha Accept term & Conditions "I accept"
Step5: Itafunduka page mpya kisha bonyeza "Monetize" button
Step6: Baada ya hapo angalia kwenye email yako
Step7: Kisha link Adsence Account yako na youtube channel bonyeza http://youtube.com/account_monitization kisha bonyeza "How will I be paid " kisha bonyeza "Associate and Adsence Account"
Step8: Kisha page mpya itafunguka na utaweka address ya youtube channel mbele ya "I will show ad on" kisha bonyeza Continue.
Step9: Page mpya itafunguka na utaweka taarifa zako zote zinazohitajika kwa kujaza form kisha bonyeza "Submit"
Subiri kwa saa 1-2 utapokea ujumbe wa kukubaliwa kwenye Email yako.
Step2: Shuka chini ya page nautaona linki kama sites authorized to show ads.
Step3: Kisha weka URL/Address ya website/blog yako unayo taka uoneshe matangazo.
Step4: Kisha nenda kweny My ads & create new ad Unit,kisha chukua ad code kisha weka kwenye blog au Website yako by Zakaboy blog facebook Mtz midia

JINSI YA KULINK WEBSITE YAKO NA ADSENSE ACCOUNT
Step1: Login kwenye Adsense account yako na bonyeza Account Setting Step2: Shuka chini ya page nautaona linki kama sites authorized to show ads.