Jumamosi, 20 Januari 2018

VIDEO: Simba Wauwasha Moto Yashusha Makocha Wapya

Klabu ya Soka ya Simba leo imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Mfaransa Pierre Lechantre, Kocha wa viungo Mmorocco Mohammed Habib ambao wanaenda kuungana na Kocha Msaidizi, Mrundi Masoud Djuma kukinoa kikosi hicho ambacho kinaongoza msimamo wa Ligi Kuu bara wakiwa na pointi 29.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE



Hakuna maoni: