Ijumaa, 10 Novemba 2017

Simba waendelea kujifua Sumbawanga

Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Mandela mjini Sumbawanga.

Chini ya Kocha Joseph Omog, wachezaji wa Simba walionekana na ari kubwa huku wakiwa na furaha.

Simba imeweka kambi mjini humo ikisubiri kucheza mechi yake dhidi ya Prisons.

Mechi ya pili ya Simba mkoani Mbeya msimu huu baada ya ile dhidi ya Mbeya City ambayo Simba iliondoka kwenye Uwanja wa Sokoine ikiwa na na ushindi wa bao 1-

Hakuna maoni: