Jumapili, 24 Septemba 2017

TSHISHIMBI MECHI NNE, KADI TATU ZA NJANO



Tshishimbi raia wa DR Congo ambaye ni kiungo mpya wa Yanga, ameweka rekodi ya kupigwa kadi tatu za njano ndani ya mechi nne.


Kadi yake ya tatu alipigwa jana katika mechi dhidi ya Ndanda FC, mechi ambayo Yanga ilifanikiwa kushinda kwa bao 1-0.

Kwa mantiki hiyo Tshishimbi ataukosa mchezo ujao wa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana kadi hizo tatu.


Hakuna maoni: