Kocha Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola (katikati) akifurahia tuzo yake Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England mwezi Septemba pamoja na benchi lake zima la ufundi; Kutoka kushoto: Xabi Mancisidor (kocha wa makipa), Rodolfo Borrell (kocha msaidizi), Domenec Torrent (kocha msaidizi), Brian Kidd (kocha msaidizi), Mikel Arteta (kocha msaidizi), Carles Planchart (kocha msaidizi).
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni