Ijumaa, 13 Oktoba 2017

Valencia anyakua tuzo ya bao Bora la mwezi Ligi Kuu England

Antonio Valencia akiitazama tuzo yake ya Bao Bora la Mwezi Septemba mwaka huu alilofunga kwenye mechi dhidi ya Everton baada ya kukabidhiwa leo.

Hakuna maoni: