Ijumaa, 13 Oktoba 2017

Huyu ndiye mchezaji Bora wa mwezi Septemba Ligi Kuu England

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Septemba baada ya kukabidhiwa leo.

Hakuna maoni: