Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 21 Februari 2020

MAJERUHI PEKEE ALIYE BAKI SIMBA (MILAJI)

Baada ya Mzamiru Yassin kuanza mazoezi hapo jana, Miraji Athumani ndiye mchezaji pekee ambaye anaendelea kuwa nje ya dimba akiuguza majeraha

Miraji amekuwa nje kwa takribani miezi miwili sasa akiuguza majeraha hayo ya goti

Kabla ya kupata majeraha, Miraji alikuwa kwenye kiwango bora akifunga mabao sita

Pamoja na kukosekana kwake Simba imeendelea kufanya vizuri kutokana na ubora wa kikosi chake

Deo Kanda ni mchezaji mwingine aliyekuwa majeruhi lakini tayari amerejea kikosini

Jumapili, 25 Novemba 2018

TFF yapitisha majina ya wagombea uongozi yanga haya hapa


Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha majina ya wagombea nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga.

Nafasi hizo ni zile za Uenyekiti, Umakamu na zile za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Zoezi linalosubiriwa hivi sasa ni la mapingamizi pekee kabla ya kuelekea kwenye kampeni na baadaye uchaguzi ambao utafanyika Januari 13 2019.  By Zakaboyblog 



Jumatatu, 19 Machi 2018

SAMATTA WASILI UWANJA WA NDEGE KURUD TZ

                  zakaboyblog.blogspot.com
Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta, amewasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Algiers, Algeria, na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Omar Yusuph Mzee.

Samatta amewasili Algeria kwa ajili ya mchezo wa kirafiki, ambapo Taifa Stars itacheza dhidi ya Algeria, Machi 22 2018.

Mchezaji huyo ataungana wa wenzake wa Taifa Stars, walioondoka leo nchini kuelekea Algeria kushiriki mechi hiyo ya kirafiki. 
By zakaboyblog.blogspot.com