Jumatano, 8 Januari 2020

IRAN YAUA WAMAREKANI 80 (VITA KUU YA 3)

Televisheni ya taifa la Iran yatangaza kuwa Wamarekani 80 wameuawa, baada ya Iran kushambulia kambi mbili za jeshi la Marekani nchini Iraq kwa makombora zaidi ya 10.