Jumanne, 8 Oktoba 2019

Mkazi wa kijiji cha Kalenge abaka mtoto

Mkazi wa Kijiji cha Kalenge, wilayani Uvinza, Dastani Elia (40), akiwa chini ya ulinzi wa Askari Polisi baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya Mkoa wa Kigoma jana na kusomewa mashtaka ya kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 7 na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri.