Jumatatu, 1 Januari 2018

VITAMBULISHO VYA TAIFA KUTUMIKA KUPIGA KURA



Waziri wa mabo ya ndani ya nchi, Mh.Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa mara baada ya kukamilika zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) inatarajiwa kuwa vitambulisho hivyo vitumike kupigia kura katika chaguzi mbalimbali.
Chanzo: Habari Leo


Hakuna maoni: