Jumapili, 7 Januari 2018

VIDEO:ACT Wazalendo waunguruma, waitaja UKAWA

Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza mikakati minne ambayo wataipa kipaumbele mwaka huu, huku suala la kuimarisha ushirikiano baina yao na vyama vingine vya upinzani vikiwemo vile vinavyounda umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA. Lakini pia ACT wanajiandaa kufanya Uchaguzi wao wa ndani kuwachagua Kiongozi Mkuu wa Chama, Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti, Uchaguzi unaotarajia kufanyika Agosti, Mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE




Hakuna maoni: