Utafiti huu umehusisha sample ya wanachuo 5000,ni utafiti huru nilioufanywa na timu ya watu 30 wa vyuo tofauti tofauti na kozi tofauti tofauti.Utafiti huu umeusisha vyuo vifuatavyo
- Udsm
- ardhi
- sua
- ifm
- udom
- dit
- muhimbili
- bugando
- kcmc
Katika wanachuo wachache tuliopata bahati ya kuwahoji watu 8 kati ya 10 sawa na asilimia 80 walionekana kuridhishwa sana na kasi ya utendendaji kazi wa awamu ya tano chini ya Mh dr JOHN JOSEPH MAGUFULI sababu kubwa walizozitoa ni vita dhidi ya rushwa,mikopo inafika kwa wakati,nidhamu kwa watumishi wa umma,kasi ya utengenezaji wa miundombinu na kasi kubwa kuelekea uchumi wa viwanda.
Mwanachuo 1 kati ya 10 hakuwa na uelewa mpana na siasa wala hakuwa anafatilia yanayojiri nchini hivyo kujionea sawa tu.
Mwanachuo 1 kati ya 10 hakukubaliana na utendaji kazi wa mh rais.
Changamoto tulizokumbana nazo ni ukosefu wa fedha ili kuwezesha kufikia watu wengi zaidi kwani lengo ilikuwa tufikie wanachuo 30000 lakini kutokana na ufinyu wa bajeti tumewafikia 5000.
Masenu k msuya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni