Serikali ya Israel imetoa muda wa siku 90 kwa maelfu ya wahamiaji kutoka Afrika kuondoka nchini humo au kuhukumiwa kifungo.
Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) na watetezi wa haki za binadamu wamesema mpango huo ni kinyume sheria za kimataifa na hata za Israel.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni