Jumapili, 14 Januari 2018

Spider man amvamia Roger Federer uwanjani Australia Open


Mchezaji tennis, Roger Federe wala hakushangazwa pale alipokuwa uwanjani na ghafla akatakiwa kucheza na Spider-Man , Superhuman na Milos Raonic ambao kwa umoja wao walijenga umoja wa Superheroes katika siku ya watoto ‘Kids Day’ iliyokuwa ikiendelea Australia Open.



Mastaa wawili kutokea Marvel heroes, Spider-Man na Thor walipata nafasi ya kuonyesha ujuzi wao katika kipindi hicho ambacho watu ambalimbali walijumuika na familia zao na marafiki.


Upande wa Federer akiwa na Spider-Man kama vile Raonic kwa upande wake akiwa na Norse God Thor.

Caroline Wozniacki na Novak Djokovic pia walijumuika katika shukhuli hiyo iliyofanyika Jumamosi hii huko Melbourne.


Hakuna maoni: