Alhamisi, 18 Januari 2018
Rais Magufuli amteua Dk Mwinuka kuwa Mkurugenzi wa Tanesco
Dar es Salaam.Rais John Magufuli amemteua Dk Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco).
Kabla ya Utendaji huu Dk Mwinuka alikuwa akikaimu Nafasi hiyo.
Awali Dk Mwinuka alikuwa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
Na pia alikuwa ni Mkuu wa Idara ya Mekanika na Uhandisi wa Viwanda Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni