Jumanne, 2 Januari 2018

MECHI KATI YA MBEYA CITY NA KAGERA SUGAR YAAHIRISHA TENA



Wachezaji wakirudi kutoka uwanjani.

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mbeya City na Kagera Sugar uliokuwa umeahirishwa na kupangwa kufanyika leo katika Uwanja wa Sokoine Mbeya, umeahirishwa tena kutokana na hali ya uwanja kutokuwa nzuri kama inavyoonekana pichani baada ya mvua kubwa kunyesha.
Uwanja umetapakaa maji.

Mjadala kabla ya kuahirishwa kwa mechi.

Hali ya Uwanja.


Hakuna maoni: