Kufuatia taarifa zinazosambaaa kuhusu kukamatwa kwa mchoraji katuni maarufu nchini na mtangazaji wa Cloud Masood Kipanya, Kamanda wa polisi mkoa wa Dar es salaam ,Afande Razaro Mambosasa amesema kwamba hata yeye amesikia tu lakini hana taarifa kamili hivyo anafanya mchakato wa kuulizia kwenye vituo mbalimbali vya polisi kupata ukweli wa taarifa hiyo.
"Inadaiwa hivyo lakini hata mimi ukweli sijaupata,ndo tunaulizia vituo vya polisi kama ni kweli ili watuambie kama kweli" . Amesema Afande Mambo sasa alivopigiwa simu kuulizwa taarifa hiyo.
BOFYA HAPA KUPATA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA KUPATA HABARI KAMILI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni