Maradhi ya muda mrefu na muda mfupi yanayosababishwa vifo huweza kuponywa kwa urahisi sana kwa njia itwayo “water therapy”. Chama cha madaktari wa kijapani kimechapisha makala juu ya njia hiyo. Ikiwa njia hiyo itafuatwa huweza kuponya maradhi yafautayo;
1. Matatizo ya macho
2. Kiungulia, kuhalisha damu na kisukari.
3. Kikohozi,pumu na kifua kikuu.
4. Kuumwa na kichwa, presha, upungufu wa damu, kupooza na kuzimia.
5. Maumivu ya kichwa.
Jinsi ya kufanya.
Mara baada ya kuamka asubuhi na mapema kabla hata ya kupigwa mswaki na kunawa uso, kunywa bilauri nne za maji, usile wala kunywa chochote mpaka baada ya dakika arobani na tano. Mara baada ya kunywa bilauri za maji ndipo upige mswaki na kunawa uso.
Muhimu:Kwa wagonjwa walio dhaifu inashauriwa waanze mpango huu kwa kunywa bilauri moja mpaka mbili na polepole waongeze idadi hata kufikia bilauri nne kwa siku, muda wa asubuhi.
Mpaka kufika hapo hatuna la ziada endelea kusoma Makala mbalimbali hapa Muungwana blog.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni