Ijumaa, 22 Desemba 2017

WOLPER AFUNGUKA KUHUSU KURUDIANA NA HARMONIZE


 
Msanii wa Filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka taarifa za kurudiana na Harmonize.

Kauli hiyo inakuraja mara baada ya Wolper kumjibu shabiki mmoja katika mtandao kuwa anaweza kumpata Harmonize kwa wakati wowote.

“Kwanini nimejiaminisha?, sasa yule si njiwa wangu kabisa au hamjui Harmonize njiwa wangu,” amesema.

Hata hivyo amesema kuwa kauli hiyo aliitoa kutokana mtu huyo alimkera hivyo akaamua kutoa neno la kumuumiza pia.



Hakuna maoni: