Rais wa Sudan Omar al Bashir amethibitisha wa kwanza kama kiongozi kushiriki katika mkutano uliotolewa wito na Uturuki kuhusu Jerusalem.
Shirikisho la kiislamu limetolea wito mkutano mucha mchache baada ya Trump kutangaza kuwa Jerusalem ni mji mkuu wa Israel.
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika juma lijalo mjini Istanbuli.
Rais El Bashir amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na rais Erdoğan kuhusu suala hilo.
Israel inakalia kimabavu Jerusalem Mashariki tangu mwaka 1967 na kuutangaza mji wa Jerusalem kuwa mji wake mkuu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni