Jumanne, 19 Desemba 2017

HII HAPANGOMBA MPYA YA NANDY-KIVURUGE

 
Msanii wa Bongo Fleva Kutoka nyumba ya vipaji ya THT, Nandy  ameachia video ya wimbo wake wa Kivuruge na muongozaji wa kichupa hiki ni Msafiri kutoka Kwetu Studio. Tazama video hapa chini kisha dondosha comment yako


Hakuna maoni: