Jumamosi, 30 Desemba 2017

BAKUBI YAINGIA FAINALI KOMBE LA MBUZI




Wachezaji wa Bakubi FC

Na Shaban Khamis,Morogoro
Timu ya bakubi ya mjini Morogoro yatinga fainali  katika mashindano ya ligi mbuzi yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba mjini morogoro.
.
Makubi imeingia fainali hapo jana Ijumaa Disemba 29 baada ya kuichapa modeko fc kwa mikwaju ya penaaiti  5-4 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare  ya 1-1



Modeko fc
Mashindano hayo ambayo yanashirikisha timu za mtaani  yanatarajiwa kumalizika wiki ijayo ambapo leo kutakuwa na mchezi mwingine wa nusu fainali   kati ya Vietnam na ABC fc kwenye uwanja huo huo wa sabasaba.









Hakuna maoni: