Jumatano, 6 Desemba 2017

AWAASA WANA CCM KUTOONA AIBU KUVAA SARE ZA CHAMA CHAO




Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa Kenani kihongosi, ametoa wito kwa Vijana wasomi wa (CCM) kutoona aibu kuvaa sare ama mavazi yenye rangi za kijani na njano kwani chama chao ndicho kilichounda serikali iliyopo na ilani inayotekelezwa ni ya chama cha mapinduzi.


Hakuna maoni: