ASKARI.POLISI ALIYEMUUA ASKARI W JWTZ AMEKAMATWA WAKATI AKIJARIBU KUJIUA - WWW.ZAKABOY.COM
Ijumaa, 29 Desemba 2017
ASKARI.POLISI ALIYEMUUA ASKARI W JWTZ AMEKAMATWA WAKATI AKIJARIBU KUJIUA
Askari polisi aliyemuua kwa risasi aliyekuwa mpnz wake bi Neema ambaye alikuwa askari wa jeshi la wananchi kambi ya makambako amekamatwa Leo akijaribu kujiua.
Askari huyo ambaye baada ya kufanya mauaji aliacha begi lenye vyeti vyake na bunduki aliyotumia kutoa uhai wa Neema nyumbani kwa marehemu na kuelekea msituni ambako alikutwa akiwa ktk jaribio la kuutoa uhai wake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni