Alhamisi, 28 Desemba 2017

APPLE YASHITAKIWA KWA KUPUNGUZA UWEZO SIMU ZA ZAMANI ILI WATU WANUNUE SIMU MPYA


Kampuni ya sim ya Apple imeshitakiwa huko marekani kwa kosa la kupunguza uwezo wa Iphone za zamani maksudi ili watu wanunue Iphone mpya.

Kampuni ya apple imefunguliwa mashtaka 8 hadi sasa na moja inadaiwa kumlipa mteja wake mmoja hasara ya Us Dollar Trilioni moja.

Hivi karbuni apple walikiri kua wanazipunguza sim za zamani za Iphone uwezo kwa maksudi ili watu wanunue sim mpya.


Hakuna maoni: