Jumamosi, 9 Desemba 2017

Aishi Manula ndiye mchezaji bora Simba kwa mwezi Novemba

Simba imemtangaza kipa wake Aishi Manula kuwa mchezaji bora wa Novemba wa kikosi hicho.

Manula anachukua nafasi hiyo ya mchezaji bora ambayo hutolewa kila mwezi na uongozi wa Simba.

Uongozi wa Simba umeamua kupitisha mfumo huo ili kuendelea kuwapa motisha wachezaji wake katika kikosi chake ili kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi.

Hakuna maoni: