Alhamisi, 2 Novemba 2017

VIDEO: MCT kuwafikisha mahakamani watakaowazuia wanahabari

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga amesema baraza hilo haliridhishwi na hali ya uhuru wa habari iliyopo hivi sasa hivyo limesema litawachukulia hatua kali ikiwamo kuwafikisha mahakamani watu watakaowazuia na kuwanyanyasa waandishi wa habari wakiwa kwenye majukumu yao.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI



Hakuna maoni: