KENYA: Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu asema kuwa hawafahamu waliomshambulia kwa risasi Mkoani Dodoma lakini aliwaona watu wawili wenye silaha.
-
Amesema baada ya Makamu wa Rais kumtembelea sasa anaamini kuwa Rais Magufuli anajua kuhusu uwepo wake Nairobi na itawapa uhuru wengine kwenda kumuona.
-
Aidha, Lissu ameongeza kuwa kuna Wabunge wawili CCM, Mary Chatanda (Korogwe Mjini) na Fakharia Shomar Khamis (viti maalum na mmoja wa watumishi wa Bunge walifika siku ya Jumapili kwenda kumjulia hali

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni