Jumatatu, 6 Novemba 2017

RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO KWA MKUU WA MIKOA KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaagiza wakuu wa mikoa ya Kagera kuhakikisha mifugo yote inawekwa alama kwa mujibu wa sheria ili kurahisisha utambuzi wa mifugo inayoingizwa nchini.




Hakuna maoni: