Jumamosi, 25 Novemba 2017

NIMEKUWEKEA HAPA PICHA ZA MAHAFALI YA 19 KIDATO CHA NNE 2017 SHULE YA SEKONDARI DON BOSCO DIDIA ILIVYOFANYIKA LEO


Shule ya Sekondari Don Bosco Didia iliyopo katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga leo Jumamosi Novemba 25,2017 imefanya sherehe ya mahafali ya 19 ya kidato cha nne tangu kuanzishwa kwake ambapo jumla ya wanafunzi 141 wamehitimu masomo yao mwaka huu.
Read more »

Hakuna maoni: