Jumatano, 22 Novemba 2017

LEMA:MAMEYA WAWILI NA KIJANA SHUPAVU MMOJA WAPO NJIANI KUIHAMA CHADEMA,MSIOGOPE

 
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Kigoma kusini kupitia chadema David Kafulila kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga  na CCM ,Mbunge wa Arusha Mjini ameposti ujumbe ufuatao

"Baada ya Lazaro kuondoka ccm , ccm wamekuwa na kisasi kikubwa , ambacho kimsingi kitasaidia kuondoa wavulana ktk mapambano haya , bado Mameya wawili ? Na kijana mwingine aliyekuwa shupavu 2010-2015. Msiogope kwani wanawaogopa sana na ndio sababu ya matendo haya"


Hakuna maoni: