Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Mfugale na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Bi. Mwantumu Dau wakisubiri kupangiwa kazi nyingine.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni