Mtuhumiwa aliekuwa akishambulia watu kwa kisu alikamatwa huko mjini Munich nchini Ujerumani Jumamosi.
Msemaji wa polisi wa Munich, Galoria Martins, alisema kuwa mtu asiyejulikana alishambulia watu sita, ikiwa ni pamoja na mwanamke, katika maeneo sita kwenye eneo la Rosenheimer Munich.
Watu wanne kati ya sita walijeruhiwa katika shambulio hili, lakini maisha wako salama.
Mtuhumiwa alikamatwa badae karibu na eneola tukio.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni