Shirka la IOM limetoa ripoti kuwa watoto wawili wa kike wamepoteza maisha baada ya tembo kuvamia kambi ya wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladesh.
Kwa mujibu wa habari,tembo huyo alivamia kambi hiyo siku ya Ijumaa na kusababisha mtoto wa miaka mitano kupoteza maisha papo hapo na mwingine wa miaka 13 alifia hospitalini kutokana na majeraha makali.
Kwa mujibu wa habari,ni zaidi ya wakimbizi alfu tano wamekimbia Rohingya kuelekea Bangladesh.
Jeshi la Rohingya limekuwa likiwaua kikatili waislamu wa Rohingya na kuwachomea majumba yao.
Takriban wanarohingya 3000 wameuawa mpaka sasa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni