Kutokana na idara ya ardhi ya halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara kukosa kuwa na mtumishi, Naibu waziri wa nchi Ofisi Rais TAMISEMI, George Kakunda, ameagiza kufanyike uhamisho wa haraka wa mtumishi wa idara ya ardhi kutoka mkoa wa Songwe, ili ahamie katika halmashauri hiyo.
Naibu waziri huyo amelazimika kutoa maagizo hayo baada ya kufanya ziara katika halmashauri hiyo ambayo inakabiliwa na uhaba wa watumishi, huku idara ya ardhi ikiwa haina mtumishi yoyote, hali ambayo inapelekea kutumia gharama kubwa kwa kukodi wataalamu kutoka halmashauri nyingine.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni