Jumapili, 1 Oktoba 2017

Mchezo wa Barcelona vs Las Palmas kuchezwa bila mashabiki

Baada ya kudaiwa kuwa kuna Kundi la mashabiki wa Barcelona wanaopanga kufanya fujo wakati wa mchezo wa Barcelona na Las Palmas leo wakidai mchezo huo uahirishwe kutokana na jimbo la Catalunya kuwa katika uchaguzi.




Hakuna maoni: