Jumatatu, 23 Oktoba 2017

Magufuli kuwatunuku vyeti waliofanikisha uchunguzi wa makinikia leo

IKULU: Rais Magufuli leo anatarajia kuwatunuku vyeti wote waliofanikisha uchunguzi wa makinikia na kufikiwa makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corporation.



Hakuna maoni: