Faridi Miraji , Dar es salaam.
TFF imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Benki ya KCB wenye thamani ya 325,000,000 TZS.
- "TFF na KCB Benki ni taasisi zanye mafanikio Benki imedumu kwa zaidi ya miaka 100 vivo hivyo mpira wa miguu nchini " - Rais wa TFF
- "Tunapenda kuiunga mkono TFF katika lengo la kupeleka soka la Tanzania mbele." - Cosmas Kimario Mkurugenzi Mkuu wa KCB
- " Makubaliano haya ni ushahidi kuwa benki kubwa kama KCB inaamini katika mpira kupitia uongozi wa TFF " - Rais wa TFF
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni