Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) limesema halina hofu yoyote endapo Aliyekuwa mgombea Urais wa Chama hicho kwenye uchaguzi uliopita, Edward Lowassa ataamua kurudi CCM ingawa wanaimani kuwa hawezi kukihama chama chao.
Hayo yamesemwa na Katibu wa Bavicha, Mwita Julius ambaye pia alimshambulia Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM pamoja na Rais Magufuli kwa kuwataka kujibu hoja za msingi na siyo kutoa porojo zisizo na faida kwa wananchi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA......USISAHAU KU SUBSCRIBE............
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni