Kupitia ukurasa wake wa Twitter Dr. Abbas ameandika ujumbe unaosema “Mhe Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa, Tunaendelea kumuombea apone haraka.”
Jumamosi, 6 Januari 2018
Serikali yamjibu Lissu
Saa chache tu baada ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari katika Hospitali ya Nairobi Kenya ambapo alikuwa akipatiwa matibabu na katika mazungumzo yake kuihusisha serikali na tukio la yeye kushambuliwa Mjini Dodoma September 7, 2017, Msemaji Mkuu wa Serikali Dr Hassan Abbas amezungumza.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Dr. Abbas ameandika ujumbe unaosema “Mhe Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa, Tunaendelea kumuombea apone haraka.”

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Dr. Abbas ameandika ujumbe unaosema “Mhe Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa, Tunaendelea kumuombea apone haraka.”
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni