Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wameahidi mwaka 2018 tutarajie vitu vingi kutoka kwao,Diamond akiwa ameanza na kutuonyesha headquarters mpya za WCB .
Ukitaja nyumba anazomiliki Diamond Platnumz kiukwelihuwezi kuacha kutaja nyumba yake ya Afrika Kusini na Tanzanialakini inatajwa kuwa ana nyumba raidi ya moja na kwa sasa anafikiria kununua nyumba nyingine Kigali Rwanda.
Kupitia ukurasa wake wa instagram ameonyesha kutaka kuishi Kigali Rwandatofauti na kuwa na nyumba Afrika Kusini naTanzania Diamond amepost picha ya mji fulani na kuandika “natafuta nyumba ya kununa Kigali nyumba yangu ya baadae kwa ajili ya simbas !! familia yangu ya Rwanda mna mchango wowote??
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni