Alhamisi, 11 Januari 2018

Neymar aja na staili mpya ya ushangiliaji

Nyota Mbrazil, Neymar Junior akiweka kiatu chake kichwani kushangilia bao la kwanza aliloifungia Paris Saint-Germain dakika ya 53 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Amiens SC kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Licorne, Amiens.

Bao la pili la PSG lilifungwa na Adrien Rabiot dakika ya 78

Hakuna maoni: