Alhamisi, 4 Januari 2018

KUHUSU MKE WA RAIS KENYATTA KUMCHANGIA TUNDU LISSU MILIONI 80,CHADEMA WASEMA HIVI

 

Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Mama Margaret Gakuo mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechangia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Tumefanya jitihada za kufahamu ukweli juu ya hili.
Hemed Ally ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa CHADEMA ambaye yuko Nairobi ambaye amesema kimsingi wamepokea ushirikiano kutoka kwa watu mbalimbali lakini kuhusu suala Mke wa Kenyatta katoa au hajatoa anaweza kuliweka wazi ni Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe.


Hakuna maoni: