Jumanne, 16 Januari 2018

JINSI KITAKAVYOKUWA KITUO CHA MABASI DODOMA

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Ujenzi imejipanga kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo kipya na cha kisasa cha mabasiyaendayo mikoani katika Makao Makuu ya Nchiu, Mjini Dodomna.

Kituo hicho ambacho kinajengwa nje kidogo ya mji, kitakuwa na manufaa makubwa katika kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.


Aidha, mradi wa Ujenzi wa kituo hicho unatarajiwa kuanza hivi karibuni.



Hakuna maoni: