Jumanne, 9 Januari 2018

Baada ya Naibu Waziri kuita wasanii Wolper afunguka

Baada ya kuona Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza kuwataka wasanii ambao wamekuwa wakikaa nusu utupu katika mitandao ya kijamii na kwenye music videos zao kuwa wanahitajika kuripoti BASATA wakiwemo wasanii Gigy Money, na Sanchi.



Hakuna maoni: