Jumanne, 5 Desemba 2017

ZANZIBAR WAPATA USHINDI MNONO DHIDI YA RWANDA

Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes leo imepata ushindi wa magoli matatu kwa moja (3-1) dhidi ya Rwanda kwenye michuanao ya CECAFA inayoendelea kule nchini Kenya

Magoli ya Zanzibar yamefungwa na Mudathir Yahaya,Mohamed Issa"Banka" na Kassim Khamiss.

Mchezo wa awali kwenye michuano hiyo,Zanzibar ilifungwa magoli mawili kwa bila na Kenya (2-0).


Hakuna maoni: