Serikali Kupitia Wizara Ya Nishati Imetoa Kiasi Cha Shilingi Milioni 210 Kwa Ajili Ya Mradi Wa Umeme Kupitia Makambako Hadi Mkoani Ruvuma ambao utakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi zaidi ya 22,000 sawa na vijiji 120 kwa mikoa yote miwili RUVUMA na NJOMBE.
Jumanne, 19 Desemba 2017
RAIS DKT MAGUFULI ATOA MILIONI 210 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA UMEME SONGEA HADI MAKAMBAKO
Serikali Kupitia Wizara Ya Nishati Imetoa Kiasi Cha Shilingi Milioni 210 Kwa Ajili Ya Mradi Wa Umeme Kupitia Makambako Hadi Mkoani Ruvuma ambao utakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi zaidi ya 22,000 sawa na vijiji 120 kwa mikoa yote miwili RUVUMA na NJOMBE.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni