Ijumaa, 8 Desemba 2017

Mudathir atwaa tuzo mchezaji bora wa mwezi

Klabu ya Singida United imefanikiwa kutoa mchezaji wake bora kwa mwezi Novemba, Mudathir Yahaya ambapo tuzo hiyo ilikuwa inashindaniwa na Asante Kwasi kutoka Lipuli na Danny Usengimana wa Singida United.

Kiungo wa Singida United ya Singida, Mudathir Yahaya ndiye aliyechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Mwezi Novemba, 2017 wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara (VPL).



Hakuna maoni: